Kutokana na uharibifu wa vyanzo vya maji na uoto wa asili uliofanyika kandokando ya mto Mbarali uliotokana na shughuli za kilimo na ufugaji, mradi wa EFLOWS unatarajia kuanzisha vitalu vya miti Rafiki kwa mazingira zaidi ya laki moja kwaajili ya kupanda kandokando ya mto huo.
SOMA ZAIDI KWENYE LINK HII HAPA CHINI
Mradi wa EFLOWS unategemea kupanda miti rafiki zaidi ya miche 100,000 kwenye vyanzo vya mto mbarali
Comments
Post a Comment