Skip to main content

Posts

MATOKEO YA UTAFITI WA MRADI WA EFLOWS YANASUBIRIWA NA NCHI 10 ZA AFRIKA

  MATOKEO YA UTAFITI WA MRADI WA EFLOWS YANASUBIRIWA NA NCHI 10 ZA AFRIKA MICHUZI BLOG at Sunday, March 12, 2023    Na Amina Hezron, Mbeya. Imeelezwa kuwa matokeo ya Utafiti wa Mradi wa Tathimini ya Maji kwa Mazingira (EFLOWS) unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwakushirikiana na Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yanatarajiwa kwenda kutumika kama mfano kwenye nchi kumi za Afrika katikaukanda wa magharibi mwa Bahari ya Hindi ambazo zinakabiliwa na changamotoza uhifadhi kama ilivyo kwenye mto Mbarali. Hayo yameelezwa na kiongozi wa Sekretarieti ya Azimio la Nairobi, Dixon Waruinge wakati alipokuwa akifafanua kuhusu umuhimu wa Mradi wa EFLOWS pamoja na lengo ya ziara yao ya tathimini toka mradi huo kuanza kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Kanali Denis Filangali Mwila na maafisa wengine kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira. Amesema kuwa utaalamu wa kuhifadhi maji kwenye mito haupo kwenye nchi nyingi za Afri...

SUA na NEMC Yapanda Miti Zaidi ya 45,000 katika Vyanzo vya Maji Nyanda za Juu Kusini

  SUA na NEMC Yapanda Miti Zaidi ya 45,000 katika Vyanzo vya Maji Nyanda za Juu Kusini Published on Thu, 02/16/2023 - 07:42 Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mzingira (NEMC) wamepanda miti rafiki na maji zaidi ya 45,000 kwenye vyanzo vya maji vya Mto Mbarali unaochangia maji yake kwenye Mto Ruaha Mkuu, Bwawa la Kidatu na Bwawa la Mwalimu Nyerere kama sehemu ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za kutunza vyanzo vya maji nchini. Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Wanging’ombe Bi.Veroni...

Capacity Building on Environmental Flows Assessment in WIO Countries

Capacity Building on Environmental Flows Assessment in WIO Countries District Commissioner for Mbarali (center seated) poses with Participants for group photo Training on Environmental Flows Assessment in WIO Countries physically was held on 19 th to 24 th September, 2022 at Rufiji Basin Water Board Office in Mbarali, Tanzania. Virtually participants from South Africa, Mozambique, Seychelles, Comoros Islands, Mauritius, Madagascar, Kenya and Somalia countries participated in the sessions. Various topics were presented in the training sessions such as: ·          Environmental Flows and its Importance, ·          Situation analysis, ·          Science of Environmental Flows, ·          E-flows Assessment Methodologies, ·          Environmental Flow Frameworks, ·  ...

EFLOWS Project Researchers continue with the Wet season Data collection in the Mbarali River

  By Placid Kabalo Researchers from Sokoine University of Agriculture (SUA) in collaboration with Researchers from the National Environmental Management Council (NEMC) and Researchers from the Rufiji River Basin (RBWB), have met for four days in Rujewa town in Mbarali District in Mbeya Region to collect various Research Data in looking at the ecosystem of the Mbarali River. The Mbarali River is one of the rivers that flows into the Great Ruaha River whose waters flow into the Rufiji River and into the Indian Ocean. Botany researchers collecting data Researcher collecting samples of insects in the Mbarali River Hydrologists collecting various data within the Mbarali river Various species of fish were caught from the Mbarali River for research